Tuesday, June 23, 2015

Anonymous

PICHAZ: ELIKEM NA POKELLO WA BBA SEASON 8 WAFUNGA NDOA


Elikem Kumordzi na Pokello Nare katika pozi wakati wa ndoa yao.
WAPENZI Elikem Kumordzi na Pokello Nare waliokutana katika Jumba la Big Brother Africa season 8 hatimaye wamefunga ndoa.

Wapenzi hao wamefunga ndoa ya kimila iliyofanyika huko Harare, Zimbabwe wikiendi iliyopita.
Wanandoa hao wamepanga kuwa na harusi mbili moja ikifanyika nyumbani kwa bibi harusi (Pokello) huko Zimbabwe na ya pili ikifanyika nyumbani kwa bwana harusi (Elikem) nchini Ghana hapo baadaye.

"Harusi moja Zimbabwe, nyingine Ghana maana kaka na dada zangu huko Ghana wanapenda kuwa sehemu ya harusi hiyo na pia kaka na dada wa Pokello huko Zimbabwe nao walipenda kushiriki tukio hili pia," alisema Elikem Kumordzie
Picha zaidi za harusi hiyo:





USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.