Monday, January 2, 2017

Unknown

Amber Lulu 'Amzodoa' Gigy Money, Ampa Maneno Makali!

'Video queen' kutoka Bongo ambaye naye amejitosa kwenye uimbaji wa Bongo Fleva, Amber Lulu amemshambulia mwenza ambaye pia ni video qeen, Gigy Money, na kusema hata siku moja hawezi kuwa na urafiki na mtu kama huyo.

Amber ametoa mashushu hayo kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio ambapo amesema licha ya kufanya kazi zinazofanana, hawezi kuwa na ushkaji naye na ikitokea hivo atajivunia sana.
"Gigy Money hawezi kuwa na mwana kama mimi, atajivunia sana, hawezi kuwa mshkaji wangu, sina mahusiano naye wala sina beef naye, hawezi kuwa kwenye cycle yangu"

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.