Showing posts with label BIASHARA. Show all posts
Showing posts with label BIASHARA. Show all posts

Monday, January 2, 2017

Unknown

Jinsi Kipato Chako Hicho Hicho Kidogo Kinavyoweza Kufanya Maajabu!

Kuna namna watu wanachanganya kuhusu vitu hivi viwili moja kipato na kingine ni maendeleo. Kuwa na maendeleo haimaanishi kuwa unakipato ki...
Read More

Sunday, January 1, 2017

Unknown

Mwaka Mpya 2017: Mashine za EFDs ‘Kumwagwa’ Nchini!

ILI kuongeza mapato, serikali inatarajia kusambaza kwa wingi mashine za kielektroniki za Mamlaka ya Mapato (EFDs) mwaka huu. Lengo la ...
Read More
Unknown

TRA Yanasa Mali za Mabilioni Dar

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata bidhaa za magendo, zilizoingizwa nchini kwa njia ya panya, ambazo zimeipotezea serikali kodi ya...
Read More

Thursday, December 22, 2016

Unknown

Hizi ni Fursa 150 za Biashara na Miradi Mbalimbali

1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufu...
Read More

Thursday, October 6, 2016

Unknown

Umeipata Hii?! Ukinunua Iphone 7 nchini China huna kazi!

Kampuni kadhaa nchini China zimetangaza kuwafuta kazi wafanyakazi wake watakaoingia madukani kununua simu mpya za kampuni ya Apple ambazo ni...
Read More

Wednesday, October 5, 2016

Unknown

Mizigo yote ya DRC itapitia Bandari ya Dar. Tulisitisha sababu ya urasimu na upotevu! -Rais Kabila

Rais Joseph Kabange Kabila amekuwa na mazungumzo na Rais Magufuli kabla ya kukutana na waandishi wa habari Ikulu Dsm leo. Katika mambo ...
Read More

Thursday, September 15, 2016

Unknown

Mke wa Bilionea MENGI, Jacqueline Azindua Duka La Furniture za Nyumbani ‘Amorette’ [+Pichaz]

Miss Tanzania 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi, Alhamisi hii amezindua duka lake jipya ‘Amorette’ lililopo Sea Cliff Masaki jijini Dar es...
Read More

Sunday, May 8, 2016

Anonymous

Hawa Ndio Wafanyabiashara Wakubwa wa Sukari Nchini

 Rais Magufuli ana vita pevu kuhusu mstakabali wa sukari na hatima ya viwanda vya sukari nchini. Sukari yote nchini inayoagizwa kutoka n...
Read More

Sunday, March 20, 2016

Anonymous

Tanzania yenye Neema: Madini ya Almasi Yagunduliwa Mkoa wa Singida

Madini ya Almasi yamegunduliwa katika mkoa wa Singida.Hayo yamesema na kamishna wa madini. Hata hivyo uchimbaji wa madini hayo mkoani h...
Read More

Friday, March 18, 2016

Anonymous

CEO wa Shirika la Ndege FastJet Afukuzwa Kazi, Kampuni Hatarini Kuishiwa Fedha

CEO wa FastJet kuacha kazi wiki hii baada ya wawekezaji kulalamika kuwa shirika lina gharama nyingi, ikiwa ni pamoja na kuwa na makao m...
Read More
Anonymous

Mbunge SUGU wa CHADEMA Aonyesha Maandalizi ya Ujenzi wa Hoteli yake ya Nyota Tatu Mbeya

Mkurugenzi wa Hotel Desderia Co Ltd, Mr Joseph Mbilinyi na Eng. Chao Nan wa kampuni ya ukandarasi Home Africa Investment Co Ltd ya China ...
Read More

Wednesday, March 16, 2016

Anonymous

Billioni 12 Zakusanywa Kutoka Kwa Wakwepa Kodi

Na Raymond Mushumbusi- MAELEZO Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya takribani Sh. billioni 12 kutoka kwa wa...
Read More

Monday, March 14, 2016

Anonymous

Kama Unataka Kufanikiwa na Kuwa Tajiri, Acha Tabia Hizi Zifuatazo Mara Moja

1. Acha tabia ya kuahirisha mambo. Kama kuna jambo au kitu unachotakiwa kukifanya leoleo ni vizuri ukafanya kuliko kukiacha na kutegemea u...
Read More

Friday, March 11, 2016

Anonymous

Kampuni ya Magari ya Toyota Waja na Ubunifu Mpya... Watengeneza Gari la Mbao....

Toyota kutambulisha gari lilotengenezwa kwa mbao na teknolojia ya kiutamaduni ya nchini Japan isiyohusisha utumiaji wa misumari wala nati...
Read More
Anonymous

Forbes Rates DANGOTE Richer Than Trump, Abramovich, Oprah Put Together

Aliko Dangote, president of Dangote group, is now richer than Donald Trump, Republican front runner; Roman Abramovich, owner of Chealsea...
Read More