Tuesday, June 23, 2015

Anonymous

NAFANYA KAZI KWA NGUVU KWA AJILI YA MWANANGU - WIZKID

Mwanamuziki maarufu  wa Nigeria, Wizkid.
Lagos Nigeria MWANAMUZIKI  mwimbaji maarufu  wa Nigeria, Wizkid, amesema hataki maisha ya anasa ya kutumia fedha ovyo, bali anataka kuonyesha upendokwa watu wake, jambo ambalo linamlazimu kufanya kazi kwa nguvu.
Wizkid akiwa na mwanaye.
Pamoja na kwamba ana mpango wa kuanzisha taasisi ya kuwasaidia watu wenye matatizo, mwimbaji huyo amesema hakuna kitu chenye thamani zaidi kwake kuliko mwanaye, Boluwatife.Amesema atampenda mwanaye hadi kifo chake na kwamba anaongeza bidii katika masuala ya muziki kwa ajili yake.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.