Showing posts with label SPORTS AND ENTERTAINMENTS. Show all posts
Showing posts with label SPORTS AND ENTERTAINMENTS. Show all posts

Wednesday, January 11, 2017

Unknown

Mbwana Samatta Aletewa Changamoto Mpya na Timu Yake ya KRC Genk

Siku 14 zimepita toka mshambuliaji wa KRC Genk Nikolaos Karelis ambaye alikuwa anashindania namba na mtanzania Mbwana Samatta atangaz...
Read More

Monday, January 2, 2017

Unknown

VIDEO: Cheki Goli la Oliver Giroud wa Arsenal Linalozungumziwa Sana Mitandaoni Pamoja na Msimamo wa EPL Ulivyo Hivi Sasa!

Jumapili ya January 1 2017 Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 iliendelea kwa michezo miwili kuchezwa katika kiwanja wa cha Emirates ...
Read More

Sunday, January 1, 2017

Unknown

Mchezaji Bora Africa 2016 wa BBC, Riyad Mahrez Hatarini Kupoteza Namba Leicester City

Kocha wa klabu ya Leicester City, Claudio Ranieri ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza ametoa shutma kwa mchezaji Riyad Mahre...
Read More

Saturday, December 31, 2016

Unknown

Bondia Francis Cheka Afungiwa Miaka 2

Siku moja baada ya bondia Francis Cheka kutangaza kustaafu ngumi kwa madai ya figisu figisu za mapromota, Disemba 30 Kamisheni ya ngumi za...
Read More
Unknown

Rekodi ya Lionel Messi ambayo Zlatan Ibrahimovic anaweza kuivunja kabla ya mwaka 2016 kuisha!

Moja kati ya usajili ambao ulishangaza baadhi ya watu kuona unafanyika ni Man United kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden Zlat...
Read More
Unknown

Msajili Mkuu wa Mahakama Awataka Mahakimu Wazingatie Haki ya Dhamana

Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Katrina Revocati amewataka mahakimu nchini kuzingatia sheria katika utendaji wao wa kazi hasa katika...
Read More
Unknown

Hii ya Cristiano Ronaldo ni Kushiba Hela au Ndio Mapenzi Kwa Real Madrid?!

Achana na habari za Oscar pamoja na Tevez za kwenda kupiga hela kule nchini China. Jikumbushe kidogo kuhusu wachezaji wanaolipwa zaidi dun...
Read More
Unknown

Kwa Matokeo Haya Hivi Sasa SIMBA SC Ndio Bingwa?!

Ligi kuu ya Tanzania bara inaendelea na sasa iko katika mzunguko wa lala salama na mechi ya pili tayari zimechezwa kama ilivyokawaida saa...
Read More
Unknown

YANGA SC Hii Tema Chini Aisee!

Naona nafasi za wachezaji wengi wa Yanga wakikosa nafasi msimu unaokuja haswa kutokana na wingi wa wachezaji kila idara na kila namba kati...
Read More

Thursday, December 29, 2016

Unknown

FC Barcelona Wametoa Picha na Video za Utoto za Lionel MESSI, Inawezekana Hujawahi Kuziona Kabisa! #TBT

Inawezekana wewe ukawa ni moja kati ya watu wanaomfuatilia sana staa wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi , basi ...
Read More
Unknown

TOP 20: Makocha wa Ligi Kuu England Wanaoongoza Kwa Kuwa na Mikono Yenye Gharama Zaidi!

Mtandao wa dailymail.co.uk umetoa list ya thamani ya saa za makocha wa Ligi Kuu England , dailymaily.co.uk umetaja thamani ya saa wanazo...
Read More
Unknown

Hii Ndio 10 Bora ya Majina Maarufu Katika Jezi ya Wachezaji wa Ligi Kuu England 2016

Bado siku mbili mwaka 2016 umalizik...
Read More

Monday, December 26, 2016

Unknown

Wafahamu Vinara wa Pasi za Mwisho Ligi Kuu ya Uingereza EPL

Ligi kuu ya England maarufu kama EPL huwa ina mabadiliko sana mchezaji anaweza akang’aa msimu mmoja msimu unaofuata akashindwa kutekeleza...
Read More
Unknown

Ubingwa wa VPL ni wa SIMBA SC Msimu Huu!

BAADA ya kikosi chake kufanikiwa kumaliza mwaka kikiwa kinaongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara Kocha mkuu wa Simba, Joseph Omog amesema sasa a...
Read More
Unknown

Tujikumbushe Ubora wa Mbwana SAMATTA Tukiumaliza Mwaka Huu 2016

Uthubutu, kujiamini na kufanyia kazi kipaji chake, hakika ni moja ya vitu ambavyo vimemfanya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na klab...
Read More