Showing posts with label UDAKU. Show all posts
Showing posts with label UDAKU. Show all posts

Monday, January 2, 2017

Unknown

Video: Kweli Muziki ya Darassa ni Habari Nyingine... Mcheki Mtoto Huyu Mdogo Kabisa Akiuimba Kwa Ufundi Wimbo Huo!

Darassa ameufunga mwaka 2016 na kuingia mwaka 2017 kwa kishindo. Muziki bado unaendelea kuwa wimbo wa taifa. Wimbo huo unapendwa na kil...
Read More
Unknown

Sio Chid Benz Tu Tazama Hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) Baada ya Kuathirika na Matumizi ya Madawa ya Kulevya!

Huyu ndio kijana mwingine anayetoa "alarm" kwa vijana wa kisasa kuwa dawa za kulevya sio "ujanja" ni majanga. Unaweza...
Read More
Unknown

Amber Lulu 'Amzodoa' Gigy Money, Ampa Maneno Makali!

'Video queen' kutoka Bongo ambaye naye amejitosa kwenye uimbaji wa Bongo Fleva, Amber Lulu amemshambulia mwenza ambaye pia ni vide...
Read More
Unknown

Mwana FA: Mwaka 2017 Hautakufanyia Chochote Kama Hauna Mipango!

Imezoeleka kila mwaka unapaonza watu huwa na hamasa na hali ya kuona wanafanya mageuzi katika maisha yao katika vitu mbalimbali huenda kat...
Read More

Sunday, January 1, 2017

Unknown

Diamond Platinumz Atikisa Australia... Wimbo Wake Wavunja Rekodi ya Mwaka!

Diamond Platnumz haishi kutuamsha na habari kubwa zinazohusiana na nyimbo zake. Siku moja baada ya DW kuitaja ngoma aliyoshirikishwa na m...
Read More
Unknown

Ukweli Kuhusu Chuki na Ushindani Ndani ya WCB ya Diamond Platinumz!

Harmonize amedai kuwa hakuna ushindani ndani ya lebo ya WCB wala chuki tofauti na watu wengine wanavyodhania. Hitmaker huyo wa Matatizo, ...
Read More
Unknown

Wabogojo alivyoisaidia Muziki ya Darassa kupaa kimataifa, soma maoni ya mashabiki nje ya TZ!

Mwaka 2016 unamalizika ukiwa na historia ambayo haitosahaulika kwenye maisha ya muziki ya rapper Darassa. Rapper huyo amefanikiwa kuten...
Read More
Unknown

Hiki Ndicho Alichokiandika Waziri Mwigulu Nchemba Baada ya Kushtuliwa na Afya ya CHID Benz!

Hivi karibuni zilisambaa picha kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha msanii wa Bongofleva Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ akionekana kurudi ...
Read More
Unknown

Sifikirii kwenda international kabla sijakubalika vya kutosha nyumbani – Young Dee

Rapper Young Dee amesema hafikirii kwa sasa kufanya jitihada za kwenda international wakati nyumbani bado hajapenya ipasavyo. Dee anasema an...
Read More
Unknown

Lady JayDee Aanika Mambo Makubwa Ma4 Anayoshukuru 2016... Talaka na Kapteni Gardner Yatia Fora!

Lady Jaydee ameitaja talaka yake kutoka kwa aliyekuwa mume wake, Gardner G Habash, ni miongoni mwa mambo 4 anayoshukuru zaidi kwa mwaka 201...
Read More
Unknown

Maskini WASTARA! Aandika Ujumbe Wakusikitisha Kuhusu Maisha yake ‘Nahisi Mauti Yapo Karibu Yangu’

Msanii wa filamu Wastara Juma ameandika barua ya wazi kueleza jinsi anavyojisikia ikiwa ni miaka 5 toka ampoteze mume wake marehemu Sajuki J...
Read More
Unknown

SOLO Thang Afunguka Tuhuma za Kumdhalilisha Chidi Benz

Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Solo Thang amefunguka baada ya baadhi ya watu kumjia juu kwa kusambaza kipande cha video alich...
Read More

Saturday, December 31, 2016

Unknown

Mastaa wa Tanzania Wenye Followers Wengi 2016... King Ali KIBA Haupo Top 5

Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...  Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanes...
Read More
Unknown

Mtonyo Alioingiza Diamond Platinumz Ndani ya Siku Mbili Tu Kufuatia Show Zake za Dar na Iringa!

Najua wengi mlikuwa Mkisubiri hili kwa hamu kujua tadhimini nzima ya show mbili za Diamond na Team nzima ya Wasafi zilizo Fanyika Iringa n...
Read More
Unknown

Rose Ndauka Afunguka Kuhusu Kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na MC Pilipili

Baada ya kuenea uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa mchekeshaji MC Pilipili anatoka kimapeniz na Rose Ndauka, muigizaji huyo amekanusha ...
Read More

Monday, December 26, 2016

Unknown

ZARI Afunguka: Hakuna Kitu Ninachokipenda Katika Maisha yangu Kama Kuzaa....

Wakati mabinti wengine wakijikita katika matumizi ya mikorogo na kukimbilia wanaume wenye pesa hali ni tofauti kwa mwanamama zari hassan (...
Read More

Saturday, December 24, 2016

Unknown

Kuanzia 2017 Ben Pol adai atatoza shilingi milioni 10 kwa collabo!

Unataka kufanya collabo na Ben Pol? Muwahi sasa kabla ya Disemba 31, sababu mwaka 2017, mambo yanakwenda kubadilika. Ben Pol amesema kuan...
Read More

Friday, December 23, 2016

Unknown

DIAMOND na Timu yake Kuchoma Gari Moto Jukwaani Kesho Wasafi Beach Party!

Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL leo Live pale mlimani City amesema wanapanga kup...
Read More
Unknown

Marekani si sehemu rahisi kuishi kwa mtu mweusi – Abela (The Amazing)

Mwanamuziki wa kundi la The Amazing, Abela, amesema Marekani ni nchi yenye changamoto nyingi kuishi kwa mtu mweusi. Ameiambia Bongo5 ku...
Read More
Unknown

Mkongwe Jay Moe anavyokula sahani moja na kizazi cha sasa!

Juma ‘Jay Moe’ Mchopanga aka Mbakiaji, ni rapper mkongwe ambaye kama ng’ombe mzee, hazeeki maini. Kwa takriban miaka 15 ya career yake, ...
Read More