Monday, January 2, 2017

Unknown

Video: Kweli Muziki ya Darassa ni Habari Nyingine... Mcheki Mtoto Huyu Mdogo Kabisa Akiuimba Kwa Ufundi Wimbo Huo!

Darassa ameufunga mwaka 2016 na kuingia mwaka 2017 kwa kishindo. Muziki bado unaendelea kuwa wimbo wa taifa. Wimbo huo unapendwa na kila mtu, kuanzia vijana, watoto, wazee, wanaume na wanawake. Mcheki dogo huyu aitwaye Chris ambaye amekuwa kivutio Instagram akirap wimbo huo na Darassa.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.