Thursday, December 29, 2016

Unknown

TOP 20: Makocha wa Ligi Kuu England Wanaoongoza Kwa Kuwa na Mikono Yenye Gharama Zaidi!

Mtandao wa dailymail.co.uk umetoa list ya thamani ya saa za makocha wa Ligi Kuu England, dailymaily.co.uk umetaja thamani ya saa wanazotumia makocha wote 20 wa timu za Ligi Kuu England huku kocha wa Burnley Sean Dyche ndio amekuwa namba moja kwa kuvaa saa yenye thamani zaidi.
Saa anayotumia Sean Dyche ndio yenye thamani zaidi ya makocha wote wa Ligi Kuu England waliyonaswa wakiwa wamezivaa, saa Sean Dyche inatajwa kuwa na thamani ya pound 45,000 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 120, Saa anayotumia Sean Dyche inaitwa Patek Philippe 5990/1A.
List ya thamani ya saa za makocha wote katika Ligi Kuu England

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.