Bado siku mbili mwaka 2016
umalizike tuingie mwaka 2017 kuna mambo mengi ya kukumbuka kwa mwaka
2016, moja kati ya hayo ni hii list ya majina maarufu katika jezi ya
wachezaji wa Ligi Kuu England kwa mwaka 2016.
Staa wa Man United aliyeweka rekodi ya usajili ya dunia Paul Pogba ndio kinara katika list hii, akifuatiwa na nyota mwenzake wa Man United Zlatan Ibrahimovic, jumla ya majina manne ya wachezaji wa Man United yameingia katika TOP 10 hii.
1- Paul Pogba (Man United)
2- Zlatan Ibrahimovic (Man United)
3- Alex Sanchez (Arsenal)
4- Mesut Ozil (Arsenal)
5- Phillipe Coutinho (Liverpool)
6- David de Gea (Man United)
7- Sadio Mane (Liverpool)
8- Dimitri Payet (West Ham United)
9- Eden Hazard (Chelsea)
10- Marcus Rashford (Man United)
Note: Only a member of this blog may post a comment.