Monday, May 2, 2016

Anonymous

Baada ya Meneja Kufunguka Vigezo Vya Collabo na DIAMOND, Baraka Da Prince Naye Kataja Vyake (+Audio)


Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hapa tumekurekodia stori zote za May 02 2016 ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na moja ya Stori ambayo imepata airtime ni hii ya Barack Da Prince kuelezea vigezo kama ukitaka kufanya nae collabo, Baraka amesema…..

>>>sichaji collabo process yangu mpaka uongee na menejimenti yangu lakini kabla hujazungumza nao napenda kusikiliza wimbo wenyewe na uwezo wa msanii, mimi kuimba mpaka niwe nimeupenda wimbo ila kama sijaupenda wimbo hata uongee na menejimenti yangu’

>>>‘wengi wanakuja Baraka tutakupa hata hela, mimi huwa sijaweka hela sana mbele sababu unaweza kunipa hela kama nyimbo mbaya itaishia wapi haiwezi kuniongezea mimi chochote kwa sababu nikiimba kwenye nyimbo mbaya kwa sababu umenilipa itanishusha mimi’:- Baraka Da Prince
Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini….

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.