Monday, January 2, 2017

Unknown

MSIBA: Bongo Movie Wapata Pigo Kwa Kuondokewa na Msanii Huyu!

Tanzia
Muigizaji Kijakaz Pazi Shabani (ZAMZAM) Amefariki jana mkoani Kigoma
Mwili wake unasafirishwa kuja mkoani Dar. 
Msiba upo Sokota karibu na heli, Temeke.

Kwa wale waliomsaau alikuwa kundi la Kidedea alicheza tamthilia ya mchezo wa Kidedea yeye na marehemu Tabia baba yao alikuwa mzee Jengua.
Nawaomba wasanii wote tujumuike kwa pamoja kwenye msiba tukawafariji wafiwa!
Taratibu za mazishi tutataarifiana!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.