Ninayo list ya viongozi wa mataifa
mbalimbali duniani wanaoongoza kwa kulipwa pesa nyingi , taarifa
ikufikie kwamba anayeshika nafasi ya tano ni Michael D. Higgins ambaye ni rais wa jamhuri ya Ireland, nafasi ya nne inashikwa na waziri mkuu wa Australia Tony Abbott, nafasi ya tatu inashikwa na rais wa Marekani Barack Obama, nafasi ya pili inashikwa na kiongozi wa Hong Kong Leung Chun-ying mshahara wake unauzidi mshahara wa rais wa China.
Nafasi ya kwanza wanasema katika viongozi wa mataifa mbalimbali duniani anayelipwa pesa nyingi ni waziri mkuu wa Singapore Lee Hsien Loong.
Nafasi ya kwanza wanasema katika viongozi wa mataifa mbalimbali duniani anayelipwa pesa nyingi ni waziri mkuu wa Singapore Lee Hsien Loong.
Waziri Mkuu huyo ndio kiongozi wa taifa
anayelipwa kwa mshahara mkubwa duniani akiwa analipwa dola za kimarekani
milioni 1 na laki 7.
Unaweza ukabonyeza play kusikiliza list ya viongozi hao wanaolipwa pesa nyingi duniani

Note: Only a member of this blog may post a comment.