Kama umekua ukifuatilia akaunti za Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari tangu mtoto wao Tiffah
azaliwe utakua umekutana na picha nusu ambayo anaonekana mtoto wao huyo
na sehemu kubwa hua ni kuanzia kwenye kidevu kushuka chini.
Hii
imekua ni style nyingine ya mastaa wetu kadhaa kuchukua mfumo huu wa
kutowapost au kuwaonyesha watoto wao hadi umri fulani ufike,Diamond Platnumz leo ametaja siku ambayo mtoto wao huyo ataonekana sura kwa wale ambao bado hawajapata nafasi ya kumuona.
On the 20th of September 2015 my Daughter's face @princess_tiffah
will be Exclusively shown for the first time to the public... would you
like to know which companies have sponsored her first video and
photo??? Apart from being @MsasanicityMall and @PuguMall #BABYSHOP brand Ambassador would you like to know which companies have endorsed her??? Stay with me!!! #TIffahsDay Coming Soon..%
(Tareh 20|09|2015 kwa mara ya kwanza sura ya Binti yangu @princess_tiffah
tutaiweka hadharani...je ungependa kujua ni Kampuni gani imedhamini
Video na Picha yake ya kwanza????.. Mbali na kuwa balozi wa #BABYSHOP ya @Msasanicitymall & @Pugumall ungependa kujua amekuwa Balozi wa nini tena???.. uskae mbali na mimi... #TiffahsDay inakaribia..%) #ProudDad

Note: Only a member of this blog may post a comment.