Friday, August 28, 2015

Anonymous

Angalia VIDEO Jinsi Nyumba Ilivyoteketea kwa Moto na Kuua Watu 9 Buguruni Malapa

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea Mtaa wa Ulam ambapo, bibi, watoto watatu wa kike na wajukuu watano waliokuwa wanaishi nyumba namba 40 wameteketea.
Video Hiyo Hapo chini, bonyeza play au download kuicheki!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.