Monday, September 7, 2015

Anonymous

‘Bodyguard’ wa Mzee Yusuph kupigwa bastola, meneja wake ameyafikisha haya kwa Soudy Brown..Uheard (Audio)

Wiki iliyopita kulitokea taarifa ya mlinzi wa Mzee Yusuph aitwaye Hassan kupigwa bastola akiwa kazini wakati wa show iliyofanyika Moshi.

Meneja wa Jahazi Morden Taarab Haji Mabovu amesema Jamaa mmoja aligombana na mlinzi huyo ambaye alikua akitaka kuingia kwenye shoo bure na baada ya ugomvi mkubwa alimpiga risasi ya bega la kushoto.
Mpaka sasa mlinzi huyo amelazwa katika hospitali ya KCMC akiendelea na matibabu.
Msikilize hapa akizungumza na Soudy Brown hapa….

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.