Kama hukuwa karibu na radio yako asubuhi hii uchambuzi wa magazeti @CloudsFM utakuwa umekupita. Zimesikika kubwa za leo kwenye vichwa vya habari baadhi zikiwa..
Vyama vya Siasa mtegoni, ratiba ya kampeni ya zua mjadala… UKAWA wafanyiziwa wakwama kupata uwanja wa Jangwani, NEC yapiga marufuku kampeni za mikusanyiko, Lowassa vizingiki kila kona azuiliwa kutumia uwanja wa Jangwani.
Mkapa anguruma tena alibariki Lowassa kukatwa, mgombea Urais CCM John Magufuli
arudisha matumani kwa Watanzania asema akipewa nafasi ya kuiongoza nchi
atateua Serikali yenye Mawaziri watakao kuwa watendaji kazi na
waadilifu.
Mgombea Urais kupitia CHADEMA Edward Lowassa kuongea na wanawake wa katika kongamano la Wanawake lililoandaliwa na BAWACHA ya CHADEMA leo… Walemavu wasema CCM wanawabagua, Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuzindua kampeni za uchaguzi tarehe 30 mwezi huu.
Sumaye awa guzo CCM, NEC
yashitukia, yasema kila Chama kifuate ratiba watoa angalizo kwa vyama
hivyo kufuata Sheria zinazohusiana na namna na utaratibu wa kufanya
kampeni hizo.
Sauti ya uchambuzi wa magazeti kupitia #PowerBreakfast ipo hapa chini.


Note: Only a member of this blog may post a comment.