Thursday, August 27, 2015

Anonymous

Hii Ndio Ndinga Mpya ya Christian BELLA, Ifahamu Thamani Yake!

Msanii mkali ni lazima awe na gari kali. Christian Bella amesema anapenda kuwa na magari mengi na ndio maana ameamua kununua gari jipya aina ya Toyota Harrier.
11350764_1167718576578336_447179644_n Christian Bella akiwa kwenye gari yake mpya
Akizungumza na Bongo5 leo akiwa mwenye furaha, hitmaker huyo wa Nani Kama Mama amesema bado anatamani kuwa na magari mengi zaidi na ya thamani.
“Mimi napenda sana kuwa na magari mengi ndio maana nikipata pesa na gari nikilitamani nalinunua tu,” amesema. “Tatizo ni pesa, leo gari yangu mpya imeingia Toyota Harrier. Hii gari niliagizia ndio imeingia, nimenunua shilingi milioni 35.”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.