Tuesday, June 16, 2015

Anonymous

NI VITA! Maneno mengine ya KAJALA kuhusu yeye na WEMA…#UhearD (Audio)

Soudy Brown kapiga stori na Kajala kuhusiana na bifu kati yake na Wema, na ameweza kuzungumzia hatma ya ugomvi wao ambao kwa sasa umeonekana kuwa sugu.

Kajala amekiri kuwa hawezi kuwa tena na urafiki na Wema licha ya kujishusha na kuomba msamaha na kusema sasa watabaki kuwa marafiki wa zamani na si kingine na kamwe hatakaa kuzungumzia kuhusu suala hilo tena.
Isikilize hapa....

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.