Tuesday, June 16, 2015

Anonymous

DIAMOND PLATINUMZ na Wanigeria ni Collabo baada ya Collabo..Kcee Ft.Diamond-‘Love Boat’

KCEEEEEEE
Baada ya Shetta kumshirikisha Kcee kwenye ngoma yake ya ‘Shikorobo’ ambayo mpaka sasa inapewa airtime za kutosha kwenye Tv na radio, sasa msanii huyo amemgeukia Diamond na kuamua kuachia naye nyimbo yake mpya ya ‘Love Boat’.
Nakukaribisha hapa chini kusikiliza mdau wangu..

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.