
“Timu zetu hizi ni timu za watu kwa hiyo ni lazima mipango yoyote ya uboreshwaji wa timu isinyang’anye watu timu, hawa watu wamewekeza kwa muda mrefu katika timu zetu hizi zenye miaka zaidi ya 70, kwa mfano MO anatakiwa kupewa sio zaidi ya asilimia 40 ili akitaka kufanya maamuzi ashirikishe wanahisa wengine na sio kumpa 51 awe anafanya maamuzi peke yake” -via Millardayo
Note: Only a member of this blog may post a comment.