Shilole amekuwa na tabia ya kutoka na viserengeti Boy na kila anayekutana naye anampost mtandaoni wakiwa mapozi tata au wakifanya utata utata. Mmoja wa Serengeti boy anadai Shilole alimkomalia kumtongoza sana akakosa uhuru kwa kuwa alikuwa dansa wake ikibidi amkubali, lakini aliishia kupata maumivu kwani alitoswa katikati.
Shilole alipohojiwa anadai hajamtongoza ila kijana huyo anajifariji!
Shilole alipohojiwa anadai hajamtongoza ila kijana huyo anajifariji!
Note: Only a member of this blog may post a comment.