Sunday, August 14, 2016

Unknown

Wachezaji wa MAN United, Zlatan Ibrahimovic na Paul Pogba Watupiana Vijembe!

Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden ambaye amejiunga na klabu ya Man United msimu huu kama mchezaji huru akitokea klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic, ameingia kwenye headlines baada ya kupost picha ya kiungo Paul Pogba aliyerudi Man United na kuandika maneno ya kuchekesha kidogo. 

Zlatan amepost picha akiwa na Paul Pogba katika account yake binafsi ya instagram na kuandika “Finally My shirt brought him back @paulpogba” kauli hiyo kwa lugha ya kiswahili ina maana kuwa mauzo yake ya jezi pekee alipojiunga na Man United yametosha kulipa fedha za usajili wa Pogba kutoka Juventus kurejea Man United.
Baada ya Zlatan kupost hivyo Pogba nae alimjibu kwa kupost video ya utani instagram wakiwa pamoja na kusema kuwa “this guy wants to get  famous” lakini Zlatan akamjibu kuwa yeye ndio kampost kumfanya apate umaarufu, Pogba ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Bournemouth kutokana na kutumikia adhabu ya kadi mbili za njano.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.