Friday, December 23, 2016

Unknown

Hatimaye Izzo Bizness na Abela (The Amazing) wafunguka iwapo ni wapenzi (+Video)

Izzo Bizness na Abela ni wapenzi? Hilo ni swali ambalo watu wengi wamekuwa wakijiuliza kila walisikiapo kundi la The Amazing.
Mimi na Abela ukiachana na kundi ni washkaji sana,” Izzo ameiambia Bongo5. Unajua sababu hata nitakuja hapa kesho nitasema sawa labda tumekuwa wapenzi tumekuja tumejibu ni wapenzi, utakosa swali la kutuuliza, unaweza ukatuuliza mtoto lini.Sisi tumeona tuwekeze kwenye kazi kwanza. Inawezekana tu kuwa na mshkaji kama huyu!” amesisitiza rapper huyo.

Sababu wabongo unajua ukiwa na mtoto mkali tu inabidi mtu akae.
The Amazing sasa wanafanya vizuri na wimbo wa ‘Umeniweza.’ -via Bongo5

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.