Sunday, August 14, 2016

Unknown

Maneno ya HARMONIZE Kwa Wanaosema Anamcopy DIAMOND Platnumz

August 11 2016 staa wa muziki wa bongo flava Dully Sykes aliachia video ya mdundo mpya unaoitwa ‘Inde‘ ambao ndani yake alimshirikisha staa kutokea laber ya WCB Harmonize ambapo katika baadhi ya comments za mashabiki zilionyesha kumwelekea Harmonize wakidai kuwa kamcopy boss wake Diamond katika style za kucheza pamoja na uvaaji wake.
Sasa jana August 13 2016 Harmonize kupitia account yake ya instagram kaamua kufunguka ya moyoni na kusema…>>>’Mhhh copy! copy! copy!….. mwisho wa siku hata ukinya utaambiwa kunya kama wewe usimcopy Diamond ebwana mzee #simbaavideo ijayo wacha nianze kuvaa Dera maana nguo zote ushazivaa‘

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.