Akiwa na kamba mikononi baada ya fumanizi hilo.
Francis Godwin, Njombe
INASHANGAZA sana! Kijana Saimon Dustan Mwanjavala ‘Mwachakala’ (15), mkazi wa Kijiji cha Mbwila Kata ya Luana, Wilaya ya Ludewa mkoani hapa, amepoteza maisha kufuatia kupigwa na kaka yake wa tumbo moja baada ya kumfumania katika zizi akila uroda na nguruwe.

Tukio hilo la aina yake lilijiri saa 8 mchana wa Novemba 17, mwaka
huu ambapo kaka mtu huyo alimkuta mdogo wake ndani ya zizi hilo akiwa
katikati ya starehe na nguruwe.
Akiwa hana nguo baada ya kuvuliwa na kaka yake wakati wa fumanizi hilo.
Habari zinadai kuwa, baada ya kushuhudia kitendo hicho kaka huyo
alimshika mdogo wake na kumfunga kamba miguuni na mikono kwa nyuma kisha
akaanza kumpiga kwa fimbo mwilini.
Inaelezwa kuwa, wakati wa kipigo kutoka kwa kaka yake, marehemu
alikuwa akijitetea kwa kusema kwamba alilazimika kuingia kwenye banda la
nguruwe kwa ajili ya kuondoa hamu ya mapenzi kutokana na kubanwa zaidi
bila kupata mwanamke.
Licha ya utetezi huo, kaka mtu alimvua nguo zote mdogo wake na kuendelea kumwadhibu mpaka akapoteza maisha.
“Baada ya kuona mdogo wake amepoteza maisha, kaka mtu alilazimika
kuuacha mwili chini, akachukua sumu ya panya na kutoweka
kusikojulikana,” alisema shuhuda mmoja.
Licha ya utetezi huo, kaka mtu alimvua nguo zote mdogo wake na kuendelea kumwadhibu mpaka akapoteza maisha.
Kamanda Mtafungwa aliwataka wananchi kutokujichukulia sheria mkononi
kwani hata kama kijana huyo alikutwa akifanya mapenzi na nguruwe bado
hukumu yake haikuwa kifo.
Note: Only a member of this blog may post a comment.