ZITTO KABWE Kaandika Haya, Baada ya KAFULILA Kuongea Kigoma Mjini Kwenye Mkutano wa 'UKAWA'
"Watu wa Kigoma wana uwezo wa kuuza mawese tu " - David Kafulila. Tarehe 4 Septemba 2015, Mwanga Centre, Kigoma.
Asante sana. Watu wa Kigoma, wauza mawese ndio waamuzi ya hatma yetu.
Ameandika Zitto kwenye mtandao wa kijamii!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.