Friday, September 4, 2015

Anonymous

VIDEO: Jacqueline WOLPER Amwaga CHOZI Live...Kisa?! Shuhhudia Hapa Ilivyokua...

wolper-3
Jacqueline Wolper hayupo tena kwenye market guys. 
Tunakuletea video hiyo hapo chini inayomuonesha muigizaji huyo akilia baada ya kuvishwa pete ya uchumba, waweza play au kui-download.
“Chozi limenitoka Mungu wangu nilinde nilindie,” aliandika kwenye video hiyo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.