Friday, September 4, 2015

Anonymous

BALAA! Familia ya David Beckham Inamuhesabu Olive Kama Sehemu ya Familia…

Mke wa mchezaji wa zamani wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Victoria Beckham amemuonyesha Olive na kuandika huku akijivunia kuwa ni sehemu ya familia yake. Olive ni mbwa ambaye familia yake imemuongeza katika nyumba yao.
1
Kupitia account ya Instagram ya Victoria Beckham alionyesha picha ya mbwa wao mpya na kuelezea furaha yake ya kuwa na kiumbe hicho katika familia yao. Wazungu huwa na utamaduni wakuheshimu sana mbwa, hata mfumo wa maisha yao, mbwa anaingia ndani wakati wowote na kukaa mahala popote hii ni tofauti kidogo na Afrika.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.