Wednesday, February 18, 2015

Anonymous

PICHAZ: JIONEE MUONEKANO MPYA WA MAMAA MAJANGA SNURA BAADA YA KUJIFUNGUA!

Siku si nyingi sana mwanamama Snura wa Majanga amejifungua mtoto wake wa pili. Kumekua na maneno kua Snura hataki watu wamuone mtoto wake na hata hakupenda watu wajue kua kajifungua. Mpya kutoka kwa Snura jinsi mwili wake ulivyoongezeka uzito.
Snura mwenyewe kupitia akaunti yake ya instagram ameweka picha hii na kuambatanisha na ujumbe huu "Kupungua kunanihusu.....si kwa ubonge huu" 
DUNIA IMEKWISHA: Ashitakiwa kwa Kumtia Vidole Sehemu za Siri Mtoto wa Miaka Minne Huko Ilala!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.