Kwa kweli imenishangaza sana. Ikiwa mkuu
wetu ni msafi imekuwaje akarudisha baadhi ya watu waliotutia hasara
kubwa na hata ikapelekea kujiuzulu baada ya kelele za wananchi kuwa
kubwa.
Tena kuna wengine wana dharau sana kwa wananchi pia nimewaona.
Kwa kweli bado sijaamini. Inaonekana kuna shinikizo, but, tusubiri!!
Source: Jamii Forums


Note: Only a member of this blog may post a comment.