Friday, September 4, 2015

Anonymous

UTATA MPYA: Mwanaume Aliyemvalisha Pete Jackline WOLPER, Picha Yavuja Mitandaoni Akiwa na Mkewe wa Ndoa!

Juzi mitandaoni habari iyomake headline sana kwa upande wa wasanii ilikuwa ni habari ya Mwigizaji Jack Wolper kuvishwa pete ya uchumba.. Sasa jana Watu wameibua jipya huku instagram imetapakaa picha ikimuonyesha mwanaume aliyemvisha pete Jack Akiwa na Mkewe ikimaanisha tayari ana ndoa ..
Kitu ambacho wengi hatujaelewa na wengine wakisema labda ile ya Jack akivishwa pete ni. Movie mpya..
Picha hii hapa chini!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.