Friday, September 4, 2015

Anonymous

VIDEO: Huenda hiki kikawa kipaji kingine cha Luis SUAREZ wa FC BARCELONA

Luis Suarez ambaye ni mchezaji tegemeo wa klabu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Uruguay, ameingia kwenye headlines baada ya kufanya tangazo hili, Suarez ambaye amewahi kuingia katika headlines ya kupenda kujiangusha uwanjani na kung’ata wachezaji wenzie uwanjani, hii ni mpya kwetu
2BF6BB6200000578-0-image-a-6_1441358601137
Suarez amefanya tangazo la biashara ambalo kwao Uruguay linapendwa sana kutokana na staa huyo amezoeleka kuonekana akionyesha umahiri wake uwanjani pekee, Suarez ambaye katika tangazo anaonekana kuwa na umahiri mkubwa wa kuigiza, huenda kikawa ni kipaji chake cha pili.
Hili hapa ndio Tangazo lenyewe na Behind the Scene

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.