Thalia Almodovar alizaliwa mwanamme
lakini amejibadilisha na kuwa mwanamke mwenye muonekano wa mwanamitindo
maarufu wa Kim Kardashian. Mtu huyo ambaye anajulikana kama Bwana/Bibi
Almodovar mwenye umri wa miaka 28 anafaidi fursa mbalimbali katika
migahawa na vilabu mbalimbali kutokana na muonekano huo. Almodovar
alifanya hivyo kwani ni shabiki wa kutupa wa Kim.
Tuesday, September 8, 2015
Mwanaume Huyu Atumia Milioni 230 Kujibadili Aonekane Kama Kim Kardashian -PICHAZ
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Filed Under:
CELEBRITIES,
UDAKU
on Tuesday, September 8, 2015

Note: Only a member of this blog may post a comment.