Kanye West.
Mwanamitindo maarufu duniani, Kim Kardashian, alipokuwa akielekea kwenye harusi ya bosi wao.
Kanye na Kim
New York, Marekani
MWANAMUZIKI nyota wa Marekani, Kanye West na mkewe, Kim Kardashian,
jana walihudhuria ndoa ya bosi wao katika tasnia ya muziki, Steve
Stoute, na kuwa kivutio kikubwa walipoingia katika ukumbi wa harusi
wakiwa wameshikana.
Kanye ambaye alikuwa amevalia nguo za rangi nyeusi na ambaye ni mara
chache kutabasamu, hivi karibuni amekuwa akiachia tabasamu ‘kubwa’ baada
ya kutangaza kwamba atagombea urais wa Marekani mwaka 2020.

Note: Only a member of this blog may post a comment.