Mswaki Atengeneza Remix ya Wimbo wa Sauti Sol ‘Isabella’, Utaupenda Zaidi (Audio)
Producer Mswaki ametengeneza remix ya wimbo mpwa wa Sauti Sol, Isabella na kuuwekea vionjo vilivyoupendezesha zaidi.
Mtayarishaji huyo wa wimbo wa Ben Pol, Sophia, ameuongezea besi na percussion wimbo huo hali iliyoufanya uchangamke zaidi.
Unaweza kuu-download hapo chini.
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Filed Under:
MUSIC,
WASANII
on Wednesday, September 23, 2015
Note: Only a member of this blog may post a comment.