Fainali ya shindano la kusaka vipaji vya
muziki, Bongo Star Search ‘BSS’ inatarajiwa kufanyika leo Ijumaa katika
ukumbi wa kisasa kabisa unaoitwa King Solomon, uliopo Namanga jijini
Dar.
Itakuwa ni mara ya kwanza katika ukumbi
huo mpya kufanya shoo kubwa kama hiyo. Ukumbi huo una hadhi ya kipekee
kabisa na mvuto wa aina yake.
Picha & Habari na Imelda Mtema

Note: Only a member of this blog may post a comment.