Tuesday, September 22, 2015

Anonymous

MAFUFU ‘Kufia’ UKAWA!

 
Muandaaji na muigizaji wa filamu , Jimmy Mafufu amesema hawezi kuhama Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa sababu  kila upande wa siasa una changamaoto zake.
Mafufu amesema alihama Chama cha Mapinduzi (CCM) na kwenda UKAWA kwasababu matatizo mengi yanayohusiana na sanaa ya filamu  yalikuwa hayajapatiwa ufumbuzi na serikali yake.
Ameseme yupo  UKAWA iliyomsimamisha Edward Lowassa kuwa mgombea Urais  wake katika uchaguzi wa mkuu mwezi ujao kwasababu anaamini atafikia malengo aliyojiwekea akishinda kiti hicho.
Chanzo: Lete Raha

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.