Friday, June 19, 2015

Anonymous

25 PICHAZ+AUDIO: Haya ndio majibu ya Viongozi wa Vyama vya Upinzani kwenye Mdahalo kuhusu Changamoto za TZ..

June 08 2015 ilikuwa siku ambayo Historia ilianza kuandikwa TZ kwenye ishu za Siasa, ulifanyika Mdahalo wa KWANZA wa Wagombea ambao wametangaza nia Kugombea Urais TZ kupitia CCM.

Kutokana na sababu mbalimbali Wagombea wengi hawakujitokeza, Mgombea mmoja Balozi Amina Salum Ali ndio Mgombea pekee aliejitokeza kwenye mdahalo huo.

June 18 2015 ilikuwa zamu ya Viongozi mbalimbali wa Vyama vya Upinzani kukutana pale Hyatt Regency Hotel kwenye Mdahalo huo na kujadili ishu mbalimbali zinazoihusu Tanzania.

Hapa nnazo picha toka kwenye Mdahalo huo.

Ali Mufuruki, Mwenyekiti wa Waandaaji wa Mdahalo huo.

Maria Sarungi alikuwa mmoja ya watu waliokuwepo kwenye Mdahalo huo.

Zitto Zuberi Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo.

Ali Mufuruki.

Lilian Mwasha

Hapa iko sauti ya Viongozi hao wakizungumzia changamoto wanazoziona TZ.
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.