Friday, September 18, 2015

Anonymous

MADEE Kumrudisha Shule Tena Dogo JANJA? Jibu Hili Hapa....

Madee amesema hajalitupilia mbali suala la kumrudisha Dogo Janja shule.
Dogo Janja (kulia) akiwa na Madee
Hata hivyo amesema anachoangalia kwa sasa ni ujio wa ngoma yake [Dogo Janja] mpya.
“Sitaki kusema eti nimeamua kukauka moja kwa moja asirudi shule,” alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio wiki hii. “Vipo vingi ambavyo sasa hivi anaviongelea, ambavyo vipo kwenye plan, lakini kikubwa kabisa nilikuwa na plan nitoe ngoma yake and then mwakani atafanya anachokitaka hata ukimpigia atasema anachotaka.”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.