Thursday, September 10, 2015

Anonymous

Diamond, Wizkid, Sarkodie, Mafikizolo, Yemi Alade na wengine warekodi wimbo wa ‘United Nations Global Goals campaign’

Diamond Platnumz amepata nafasi nyingine ya kushirikiana na mastaa mbalimbali wa Afrika akiwemo Wizkid wa Nigeria, kurekodi wimbo wa kampeni ya Umoja wa mataifa, ‘United Nations Global Goals campaign’.
wizkid,sarkodie,yemi,diamond
Hit maker huyo wa ‘Nana’ na Wizkid wameungana na wanamuziki wengine wakubwa wa Afrika kama Yemi Alade (Nigeria), rapper Sarkodie (Ghana), kundi la Mafikizolo (South Africa), Sauti Sol (Kenya), Becca (Ghana) na Toofan (Togo).
Maproducer ambao wameshiriki kutengeneza wimbo huo ni Cobhams Asuquo (Nigeria), David KING DAVID Muthami (Kenya) na Ellputo (Mozambique).

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.