Tuesday, September 22, 2015

Anonymous

CHID BENZ Yuko Chama Gani? Ngoma Mpya Je? Majibu Yapo Hapa... #UHeard (Audio)

Zimebaki siku chache kushuhudia TZ ikiingia kwenye Uchaguzi Mkuu October 25 2015 ambapo baadhi ya wasanii wamejitokeza kuunga mkono Vyama mbalimbali, Chid Benz je?
Chid Benz amepatikana kwenye U Heard ya Soudy Brown, rapper huyo amesema kwa sasa yeye haungi mkono Chama chochote ila anachohitaji ni maendeeleo kwa ujumla.
Rapper Chid Benz amesema ameamua kuachia ngoma ambayo itatoka hivi karibuni na ni wimbo ambao utahusu mambo ya uchaguzi.
Ni Chid Benz na Soudy Brown kwenye U Heard mtu wangu, sauti iko hapa..

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.