Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Thursday, August 20, 2015
Anonymous
KIMENUKA CHADEMA! Mshindi wa Kura za Maoni Bunda Aliyekatwa na Nafasi yake Kupewa Ester BULAYA, Ahamia CCM
Wakuu, hatimae Pius Masului yule mshindi wa kura za maoni CHADEMA jimbo
la Bunda mjini amehamia CCM akidai kutoridhishwa Na maamuzi ya CC ya
CHADEMA Taifa kukata jina lake na Kumpa Mshindi wa Tatu Ester Bulaya
Chanzo: Radio Mazingira FM
Note: Only a member of this blog may post a comment.