Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Thursday, March 26, 2015
Anonymous
VIDEO MPYA KALI: VANESSA MDEE FT K.O Nobody But Me
Sifa
nyiiiingi zipo pia kwa V Money a.k.a Vanessa Mdee ambae ni mkali wa
bongofleva kwenye hits kama ‘come over’ ‘closer’ ‘safari’ na nyingine
ambazo zimemfanya awepo bongoflevani na sasa katuletea hii mpya kafanya
na rapper K.O wa South Africa.
Note: Only a member of this blog may post a comment.