Cristiano Ronaldo ni mchezaji nyota wa kimataifa wa Ureno ambae wengi tumemfahamu kupitia vilabu vya Manchester United na Real Madrid ya Hispania, Ronaldo ni mtoto wa nne katika familia ya Maria Dolores dos Santos na Jose Dinis Aveiro.
Hadi sasa moja kati ya vitu vinavyomuumiza Cristiano Ronaldo ni kifo cha baba yake mzazi marehemu Jose Dinis Aveiro ambapo huwa anatamani angekuwa hai hadi leo hafaidi mafanikio yake aliyoyapa katika soka. Jose Dinis Aveiro alifariki mwaka 2005 kutokana na ulevi wa pombe kupindukia ambao ulisababisha kupata tatizo la Ini.
Nimekusogezea picha za utoto za Cristiano Ronaldo akiwa na wazazi wake na ndugu zake wengine

Cristiano Ronaldo akiwa na baba na mama yake
Cristiano Ronaldo akiwa na baba na mama yake

Note: Only a member of this blog may post a comment.