Thursday, August 20, 2015

Anonymous

Picha 8 za Nicolas Otamendi akiwa katika klabu ya Man City na alivyokutana na Aguero

2B85B69700000578-3204524-image-a-25_1440070852008
Kocha wa klabu ya Manchester City ya Uingereza Manuel Pellegrini August 20 amekamilisha furaha yake ya kumsaini moja kati ya mabeki bora anaowaamini na alikuwa akimuhitaji kwa muda sasa kabla ya August 20 kufanikiwa kumnasa nyota huyo wa Argentina aliyekuwa anaitumikia klabu ya Valencia ya Hispania Nicolas Otamendi.

Otamendi akisaini mkataba wa miaka mitano mbele ya Txiki Begiristain ambaye ni mkurugenzi wa michezo Man City
Pound milioni 32 zilitosha kuishawishi klabu ya Valencia kumuachia nyota huyo ahamie Etihad kwa mkataba wa miaka mitano, Man City wamelipa kiasi hicho kwa ajili ya staa huyo aliyekuwa miongoni mwa wachezaji wanaounda kikosi bora cha Laliga katika msimu wa 2014-2015.
2B86CE1300000578-3204524-image-a-47_1440081015849
“Yupo imara ni mzuri katika mipira ya tackling na yupo vizuri kiufundi”>>> Manuel Pellegrini
Hizi ni picha baada ya kusaini Man City miaka mitano.
2B85B54100000578-3204524-image-a-23_1440070795675
Otamendi-main
2B86CDCB00000578-3204524-image-a-45_1440081006181
2B85B6D600000578-3204524-image-a-27_1440070903788
2B842A5000000578-3204524-image-a-18_1440063281417

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.