Hakika CCM kiboko! Wamehakikisha hakuna chama kingine cha siasa ambacho kitapata nafasi kutumia viwanja vya mikutano kwa sababu wameandaa matamasha mbalimbali kwa muda wote wa kampeni!
Aidha CCM imehakikisha imelipia katika tv zote muda ambao vyama vingine vingetumia kulipia matangazo yao ya kampeni ili wautumie wao!
Sasa sijui sheria inasemaje katika matumizi makubwa ya fedha katika kampeni!
-via wazohuru

Note: Only a member of this blog may post a comment.