Thursday, August 20, 2015

Anonymous

14 PICHAZ: Haya Ndio Maisha! Kutana na Hizi Hotel za Kifahari Zipo Katikati ya Maji Nimekusogezea Hapa Mdau…


Katika pitapita zangu kwenye mitandao nimekutana na hizi hoteli zenye mvuto zaidi dunini ambazo zimejengwa ndani ya maji mtu wangu.
Unaweza kuzitazama na kuniambia ipi imekuvutia zaidi..

Hydropolis underwater Hotel-Dubai

Maldives Hotel-Dubai

The Palm Dubai Underwater Hotel

The Shimao Wonderland, China

Sunrise Hotel-China

Huvafen Fushi, Maldives

Water Discus Hotel, Dubai

Crescent Hydropolis, Dubai

Apeiron Island Hotel, Dubai

The Poseidon Underwater Resort, Fiji


Great Barrier Reef Resort-Australia

Katikies Hotel in Santorini

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.