Saturday, July 4, 2015

Anonymous

Kisa Mchumba, RAY C Apewa za Uso Live!

ray-c-6 
Staa wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’.
STAA wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’ juzikati alipondwa mtandaoni baada ya kudai anatafuta mchumba na kutangaza masharti yake.

Ray C aliweka masharti kadhaa kwenye ukurasa wake wa Instagram ambapo pamoja na usmati, alisema mwanaume anayemtaka awe na uwezo wa kumuimbia nyimbo za Kihindi na kutumia simu moja (kushea).

Sasa unataka kuoa au kuolewa, mimi sijakuelewa maana masharti uliyoweka hutakaa uolewe utazeeka hivyohivyo, waulize walioolewa walifa-nyaje, mwanaume atakayefuata masharti yako atakuwa mnafiki,” aliandika Godfrey ambapo Ray C hakujibu chochote.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.