Saturday, July 4, 2015

Anonymous

5 PICHAZ: Mkasi TV wafungua salon mpya ya kipindi, ni noma!

11358948_866686490112110_828200179_n
Msimu mpya wa kipindi cha Mkasi utaonekana kwenye salon mpya kabisa.
10665408_395629100627412_382556179_n Hii ni salon mpya iliyojengwa kwaajili ya kurekodia kipindi cha Mkasi
Tofauti na salon ya mwanzo iliyotumika kwenye misimu miwili iliyopita, hii inamilikiwa na wao wenyewe.
11335170_498187393679291_63363854_n Shilole ni miongoni mwa mastaa waliohojiwa kwenye salon hiyo mpya ya Mkasi
11351011_673248926153367_1042646370_n
Msimu mpya wa kipindi cha Mkasi utaanza hivi karibuni.
11358948_866686490112110_828200179_n
11373589_1646221882262909_129068955_n

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.