Ray C amedai kuwa hafanyi utani kufuatia tangazo lake la kutafuta mume wa kumuoa.
“Ila ishu ya kutumia simu moja kidogo imeleta tafrani so inaonyesha michepuko ni mingi kwenye ndoa ila najua nikimpata wangu tutarekebibishana kuhusu hilo najua tutaenda sawa tu.”
“Mpaka nimeshapata [maombi] mia tano leo tu kwa hiyo naona muda si mrefu ntatangaza harusi ingawa wako kwenye mchujo,” amefafanua.


Note: Only a member of this blog may post a comment.